Region: 
Ruvuma
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzin 86 kwa mwaka mzima.

Jumla ya pakiti 1032 za taulo za kike zimetolewa kwa wanafunzi wa Mbinga.

Wanafunzi wa Mbinga wakiwa tayari kwa kampeni ya Namthamini.

Mtangazaji wa East Africa TV na Balozi wa kampeni ya Namthamini, Najma Paul akizungumza na wanafunzi wa Mbinga.

Mwanafunzi wa Mbinga alishinda t-shirt kwa kujibu vizuri maswali ya hedhi salama.

Wanafunzi wa Mbinga wakikabidhiwa taulo za kike.