Dancer
Hapo ndipo ma-dancer walipokuwa wanakamua kwenye show ya kibabe. Usikose kuangalia 5Selekt kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa, saa 11 jioni.
Piano
Angalia mbwembwe za kupiga kinanda kati ya Tbway360 na Chriss Music. Usikose kuangalia 5Selekt kila Jumatatu mpaka Ijumaa, saa 11 jioni