Ripoti
Klabu ya Yanga iko katika hatua za mwisho za kumuajiri kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania-Taifa Stars Marcio Maximo. Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Clement Sanga ameyasema hayo wakati wa mkutano maalum klabu hiyo jana jijini DSM.
Vumbua
Mgombea aliyeenguliwa kugombea urais wa klabu ya Simba, Michael Wambura ameingia kwenye malumbano na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo bwana Damas Ndumbaro
Ripoti
Msimu wa pili wa michuano ya mpira wa kikapu ya BBall Kitaa umeingia wiki ya pili katika viwanja vya Gymkhana jijini DSM> Mratibu wa mashindano hayo bwana Karabani karabani amesema msimu huu una msisimko mkubw zaidi.