FNL MZUKA MASTER J AKIZUNGUMZIA PRODUCER
Mmiliki wa wa studio za MJ RECORDS Master J amesema kuwa maproducer hapa Bongo hawathaminiwi na wasanii wa hapa Tanzania hata kidogo.
FNL MZUKA SUGU KUHUSU YEYE KUFANYA MUZIKI
Mr II a.k.a Sugu amesema kuwa yeye kufanya muziki akiwa kama Mbunge wa Tanzania itasaidia kutangaza muziki wetu nchi za nje.
FNL MZUKA SUGU AKITOA BURUDANI
Huyu hapa Sugu akitoa burudani ndani ya FRIDAY NIGHT LIVE
FNL MZUKA DAXO CHALI KUHUSU WIMBO WA FREEDOM
Daxo Chali amesema kuwa alimpa Sugu wimbo aliofanya na Mr Blue afanye peke yake kwa kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa wimbo huo na upo chini ya studio za MJ RECORDS, hivyo ana mamlaka na wimbo huo.