Makomando
Makomando waeleza kutokuwa na management ndio kunasababisha wawe hatua hii waliyopo hadi sasa.
Yamoto Band
Kundi la Yamoto Band wasema wanafurahiya kuona kunaongezeko la Band nyingine kama yao kwakuwa zinawapa changamoto ya kufanya kazi nzuri zaidi ili kushinda ushindani huo.
FNL Mzuka na Yamoto Band
Yamoto Band wakionyesha utashi wao wa kucheza kwenye FNL