Nay wa Mitego
Nay wa Mitego aonge kuwa hakuna aliye kuja kumuulizia juu ya mwanaye, Hata Siwema mama mzazi wa mtoto hajafanya hivyo.
Nay wa Mitego
Nay wa Mitego akanusha kuwa na ugomvi au kinyongo na Siwema ambaye ni mama wa mtoto wake.
Ruby
Ruby akiimba live wimbo wake unao hit kwa sasa 'Na Yule'
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz akiwa na wachezaji wake wakiburudisha show kwa wimbo wa 'Wanjera' rimx