Ndani ya Kitengo kutana na producer wa muziki wa kizazi kipya aliye mtoa Bell9 pamoja na Young Killer, akielezea kwanini muziki wa Bongo fFlava unaelekea unapo elekea na wasanii wa aina gani anapenda kufanya nao kazi.
MGODI - B WAY
Ndani ya Mgodi kijana anaye Rap na kuleta swaga za kweli kutana na B-Way, sasa akiwa na video nyimbo yake inayoitwa - ipe moja.
KICHUPA - BARNABAS
Ikiwa umeipenda au haujaipenda lakini sasa utapata kujua zaidi kuhusu hiki kichupa cha Barnabas - kinaitwa - Wahalade.