Kutoka kwenye crew ya U-sidaz, sasa na hit yake mpya BMS mcheki Gosby!
Mwanzo kuchangiwa ela na crew yake za kufanyia vocals na sasa akiendelea kuwa kwenye game aki rap na kuimba; Gosby sasa akiwa na hit yake mpya BMS.
Mgodini kutana C-Law.
C-Law kijana mpya kwenye game lakini tayari ana nyimbo inayo tembea - Side B.
Pata kumuona county Boy ndani ya usiku mnene.
Usiku mnene; stagini nadni ya Maisha club tunamuona Cooutry boy akipawisha.