SITE
Kwa kutumia matofali ya interlocking unaweza kupunguza hadi aslimia 25 za garama za ujenzi. Hata hivyo matofalia haya yanauwezo wa kudumu zaidi ya miaka 100.
Matofali ya interlocking hayahitaji kupigwa plasta kwa sababu yanarangi ya asili. kuna vanishi inayofana na rangi ya matofali ambayo huyafanya yapendeze.
Zambarau ni rangi ya mwaka 2014 ambayo ukipaka katika nyumba yako hupendeza sana. kutokana na shirika la rangi duniani (PANTON) rangi hii huhamasisha ufanisi.