Sehemu 1
Kama anavyosema kijana huyu kutoka Shekilango kwamba vijana tupige kazi ili tuweze kuleta maendeleo.
Sehemu 2
'Kijana ili aweze kupata maendeleo lazima awe na mpenzi' ndivyo ambavyo anasema Kijana huyu.
Sehemu 3
"Mafanikio ya mtu yanakuja kutokana na kupenda unachokifanya"