Submitted by richard on Jumatano , 24th Feb , 2016SKONGA Ijumaa hii saa 12:30 jioni, Ni Mbezi Inn Sec. School wanafunzi wakionesha vipaji na uwezo wa kujibu maswali katika Q and A huku wengine 'wakitokelezea' na wengine wakikuna kidevu. USIKOSE.