Submitted by richard on Jumatano , 4th Mei , 2016Wanafunzi wa SAKU Sec. School wanajadili juu ya ajali zinazoendelea kutokea, ni nini kifanyike hasa kwa madereva, hatua gani zichukuliwe, sheria za barabarani. Vyote hivi wamejadili kwenye KIMBWETA Usikose.