Wiki hii katika SKONGA, tutakua na wanafunzi wa Minazini Sekondari, Wakizunguamzia jinsi baadhi ya wanafunzi walivyokua na Tabia mbaya wawapo ndani na nje ya shule.