Region: 
Simiyu
District: 
Maswa District
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Kmapeni ya Namthamini 2021 ilitembelea Shule ya Sekondary Somanda Wilayani Maswa mkoani Simiyu na kutoa mchango wa taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima.