Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mazungumzo hayo.
Katibu wa kongamano la Baraza la Wanawake wa kiislamu Wilaya ya Kongwa Mariam Issa Msami.
Mzigo wa miwa ukiwa tayari umeshushwa kutoka kwenye gari la mizigo katika soko la Tandale.