Makamu wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Mohamed Gharib Bilal
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete katika msiba wa dada yake Jakaya Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha kamishna Diwan Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 22,2016