Jumapili hii katika kipindi cha Ujenzi tutakuwa tukizungumzia urembo wa taa za Chandalia katika kupendezesha nyumba yako, usikose ni saa 12 kamili jioni EATV Pekee!