Submitted by Basilisa on Jumanne , 10th Mei , 2016Jumapili hii katika kipindi cha UJENZI, Kutana na mtaalamu wa urembo ,Fransis Simbeye akikujuza kuhusu namna ya kufanya finishing nzuri ya nyumba yako.