Kufahamu udongo sahihi mahala pa kujenga nyumba kuna umuhimu sana, kutokana na madhara ambayo yanaweza kutokea hapo badaye.