Alhamis hii Ndani ya kipindi cha ujenzi Tutakuwa tukiangalia vigezo vinavyotumika katika upatikanaji wa Zabuni za Ujenzi. Bwana Mafuruki kutoka Manispaa ya Kinondoni ataelezea zaidi.