Submitted by richard on Jumatatu , 29th Feb , 2016
Singeli ni moja kati ya aina ya muziki unaopendwa zaidi uswahilini, wacheki waimbaji na wachezaji toka Kinondoni Moscow, kutana pia na mama muuza genge anayemiliki kiwanja Kigamboni, hayo ni machache tu, icheki show Jumapili hii saa 12:30