Wanawake Live inaongea na Dada Sophia anayefanya kazi ya kuelimisha wasichana wanaofanya biashara ya ngono. Wengi wao wanadai biashara ya ngono ni kazi kama zilivyo kazi zingine.