"Rotary tulianzisha mradi wa kuwawesha mabinti katika masuala ya hedhi, club zote nchini zinaelimisha wavulana kwa wasichana kuhusu hedhi salama kwa kushirikiana na wadau wetu kama kampeni ya Namthamini"Rais wa Rotary OysterbayRotary Oysterbay