“Tunaishukuru East Africa TV kupitia kampeni ya #ninamthamini kwa kushirikiana nasi Mandera Girls Secondary School kuadhimisha Siku ya Hedhi Salama Duniani, hatua iliyoleta faraja na matumaini kwa mabinti wetu.”
Makamu wa shule utawala
Mandera Girls Secondary School