''Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze inaishukuru na kuipongeza Namthamini kwa mchango wake katika kuhakikisha watoto wa kike wanapata hedhi salama mashuleni.”Mkurugenzi MtendajiHalmashauri ya Chalinze