Submitted by richard on Ijumaa , 26th Feb , 2016Jumamosi hii katika kipindi cha ZE COMEDY SHOW Usikose kufuatilia vituko, elimu na ucheshi, kutoka kwa Kanjibhai, Mcharuko, Magumashi, Mazuzu na Mlugaluga, katika msimu mpya muda ni saa 12:30 jioni EATV PEKEE.