QUICK PROFILES

PAUL MUSIH
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya  KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 kaitka familia ya watoto 7 nina kaka 4 na dad 1

Ninaishi MAMA na NDUGU ZANGU WENGINE

Mtaani kwangu najulikana kwa KuDANCE

Mimi nimesoma mpaka FORM 3

Shughuli zangun za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KUCHEZA MPIRA

 

 

MOHAMED OMARY
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika famili ya watoto 5 nina kaka MIMI

Ninaishi MOJA na DADA

Mtaani kwangu najulikana kwa MUDY NYINDA

Mimi nimesoma mpaka FORM 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) MCHEZAJI MPIRA

 

EMA KIBA
+

Nimezaliwa mwak 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi nim mtoto wa 2 katika famili ya watoto 3 Nina kaka MIMI 

Mtaani kwangu najulikana kwa EMA KIBA

Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: MUUZA NGUO NA VIATU

AZIZI RAJABU
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya BAGAMOYO Mkoa wa PWANI

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 3 

Ninaishi na BABA na BIBI

Mtaani kwangu najulikana kwa MICHEZO YANGU YA DANCE

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: FUNDI UMEME

 

ABDALLAH IBRAHIMU
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 4 Nina kaka NDIO na DADA

Ninaishi TANDARE KWA MTOGOLE

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: FUNDI

Group Videos

WAZAWA CREW - TANO BORA
WAZAWA CREW - TANO BORA
Play Video
WAZAWA CREW - TANO BORA

Hii hapa safari ya Wazawa Crew

NUSU FAINALI - Wazawa Crew
NUSU FAINALI - Wazawa Crew
Play Video
NUSU FAINALI - Wazawa Crew

Hawa walifanikiwa kumpagawisha Jaji Super Nyamwela akatoa maksi 100%

ROBO FAINALI - Wazawa Crew
ROBO FAINALI - Wazawa Crew
Play Video
ROBO FAINALI - Wazawa Crew

Siku ya Robo fainali walileta 'surprise' hii.