Together Tunawakilisha
Home

YOU ARE NOT LOGGED IN
  • Login
  • or
  • Sign Up
  • Dashboard
  • Logout
  • Home
  • Shows
  • News
    • Currrent Affairs
    • Entertainment
    • Sport
    • Business
    • Life & Style
  • Gallery
  • Schedule
  • Namthamini
  • Dance100
  • Groups
  • Videos
  • Judges/Host
  • Profile
  • #DANCE100
  • Mabingwa wa Dance100% 2016
    Washindi wa kwanza wa mashindano ya Dance100% 2016 Team Makorokocho wakiwa kwenye picha ya pamoja na majaji baada ya kutangazwa kuwa washindi.
  • Washindi wa Kwanza Dance100%-2016
    Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano Vodacom Jacquiline Materu (Kushoto) wakiwakabidhi washindi wa kwanza wa Dance100%-2016 Team Makorokocho zawadi ya kombe na mfano hundi
  • Washindi wa 2 Dance100%
    Afisa msaidizi idara ya mauzo kutoka Cocacola, Mariam Sezinga akiwakabidhi mfano wa hundi washindi 2 katika fainali ya mashindano ya Dance100% ambao ni J Combat kutoka Zanzibar
  • Washindi 3
    Mkuu wa matukio ya sanaa kutoka BASATA Kurwijira N Maregesi, akiwakabidhi mfano wa hundi washindi 3 katika fainali ya mashindano ya Dance100% ambao ni D.D.I Crew
  • Alikiba
    Msanii Alikiba akiwa stejini kumkabidhi bahasha za washindi mtangazaji wa mashindano ya Dance100% T-Bway.
  • Dance100 2014
  • Dance100 2015
  • Dance100 2016
DANCE 100%
Dance100% Promo Fainali

Super Nyamwela

Nyamwela ajivunia kiwango cha Dance 100% 2016
News

Ruby

Dance100% imeibua vipaji vya hali ya juu – Ruby
News

Jokate Mwegelo

Shindano la Dance100% lifike mikoani - Jokate
News
Fainali Dance100% 2016 - Don Bosco Oystebay
Gallery

Dance100

You are here

  1. EVENTS/
  2. DANCE 100%
Submitted by admin on Jumatatu , 6th Jun , 2016
GROUPS

FINALS

Eliminated
Best Boys
+
Best Boys
MEMBERS
  • Edy Brilliant
  • Hans Pastory
  • Hassan Salehe
  • Hussein Salehe
  • Rajab Adam
  • Lista Andrea
  • Juma Seif
  • Omar Goma
Eliminated
Mafia Crew
+
Mafia Crew
MEMBERS
  • Isihaka M. Likamba
  • Vidaleky Mkamba
  • Awadhi Manizi
  • Bushiry Issa
  • Joseph Henry
  • Issa Muki
  • Amis Amis
Clever Boys
+
Clever Boys
MEMBERS
  • Yusuph Machela
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 4 Ninaishi MTONI KWA AZIZ ALLY PEKE YANGU Najulikana kama RAS KIROBA Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Hemedy Khalifa
    Nimezaliwa mwaka 1990 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 6 Ninaishi PEKE YANGU Najulikana kama HEMEDI Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Charles Edward
    Nimezaliwa mwaka 1990 Wilaya ya NYAMAGANA Mkoa wa Mwanza Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama BABLUI Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Nicolous Martin
    Nimezaliwa mwaka 1989 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 9 Ninaishi PEKE YANGU Najulikana kama NICKIE Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Omary Jafari
  • Babloi Khalifa
  • Eddy Wizzy
  • Abubakary Hamisi
J COMBAT CREW
+
J COMBAT CREW
MEMBERS
  • Hakim Hussein Ali
  • Kaysam Bboy Kaysam
  • Mah'd Abdul Moh'd
  • Ibrahim Faki Hamad
  • Omari Said Omari
  • Omari Seleman Kisinga
  • Ibrahim Ali Abdallah
Eliminated
P.O.D Crew
+
P.O.D Crew
MEMBERS
  • Godfrey Makoye
  • Ahmada Haruna
  • John Charles
  • Side Abdalah
  • Ramadhani Mbuda
  • Jackson Amil
  • Herry Potter
  • Edy Bwigane
Eliminated
TWC
+
TWC
MEMBERS
  • China Matana
  • Ramadhan Mohamed
  • Mohamed Athman
  • Rashid Mcomile
  • Elias Charles
  • Saluti Mohamed
  • Ramadhani Mrisho
Eliminated
Mazabe Powder
+
Mazabe Powder
MEMBERS
  • Jastine Ngapuga
    Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 Ninaishi na WAZAZI Najulikana kama DOGO BIBA STIRIO Nimesoma Mpaka Form 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Lukas Connely
    Nimezaliwa mwaka 1994 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama SOSEY-DRAY Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Ashirafu Mfalimbega
    Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro Mimi ni mtoto wa 12 katika familia ya watoto 15 Ninaishi na MAMA na BIBI Najulikana kama SHILA BONTA Nimesoma Mpaka Form 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Jonathani T. Mitume
  • Tamimu Mahmoudu
Winner
Team Makorokocho
+
Team Makorokocho
MEMBERS
  • Mustapha Kijo
    Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 7 Ninaishi na kaka na Shemeji Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Darasa la 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Stanley Zito
    Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Ninaishi na Bibi na Babu Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Darasa la 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Pacha Malove
    Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 2 Ninaishi na Bibi na Baba Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Darasa la 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Ayubu Hance
    Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Ninaishi na Mama Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Mikidad Yahaya
    Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Ninaishi na Bibi na Babu Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Darasa la 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Kamongo Kassim
    Nimezaliwa mwaka 1998 Wilaya ya TEMEKE Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Ninaishi na MJOMBA na SHANGAZI Najulikana kama KIPANDA USO Nimesoma MpakaNimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 Ninaishi GONGO LA MBOTO na MWENYEWE Najulikana kama OMMY TEE Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Sarlum Boy Habasi
    Nimezaliwa mwaka 1998 Wilaya yaTemeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Ninaishi MJOMBA na SHANGAZI Nimesoma Mpaka 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Hamad Habasi
    Nimezaliwa mwaka 1996 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Najulikana kama SALU BOY Nimesoma Mpaka 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Eliminated
The Heroes Crew
+
The Heroes Crew
MEMBERS
  • Emmanuel Dickson
    Nimezaliwa mwaka 1991 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4 Ninaishi GONGO LA MBOTO na FAMILIA Najulikana kama SANAA NINAYOIFANYA Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Omar Abdu
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 Ninaishi GONGO LA MBOTO na MWENYEWE Najulikana kama OMMY TEE Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Tumain Charles
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 4 Ninaishi MAJOHE na FAMILIA Najulikana kama DOGO T Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Ramsh Hossein
  • Tabia Hamis
  • Hashim Rashidi
Eliminated
Tatanisha Dancers
+
Tatanisha Dancers
MEMBERS
  • Ramadhani Mohammed
    Nimezaliwa mwaka 1991 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Ninaishi na SHANGAZI na MJOMBA Najulikana kama GAGA Nimesoma Mpaka Darasa 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Yusuph Salum
    Nimezaliwa mwaka 1991 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 2 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama KP Nimesoma Mpaka Darasa 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Mustafa Yahaya
    Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 5 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama Viva Nimesoma Mpaka Darasa 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Zuberi Awami
    Nimezaliwa mwaka 1997 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 1 Ninaishi na MAMA na BIBI Najulikana kama MATIRIO Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Maulid Casto
    Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 7 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama MODIS Nimesoma Mpaka Darasa 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Nestory Mushi
    Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4 Ninaishi Peke Yangu Najulikana kama Star Boy Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Juma Kadede
    Nimezaliwa mwaka 1991 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama TOMPOO Nimesoma Mpaka Darasa 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
BBK BBoys
+
BBK BBoys
MEMBERS
  • Jafali Awali
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BIBI na BABA MDOGO Najulikana kama JAFARI Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2016
  • Wakati Wineske
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Ninaishi na AUNTY na MJOMBA Najulikana kama WAKATIZO Nimesoma Mpaka FORM 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Johnson Sanga
    Nimezaliwa mwaka 1994 Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Ninaishi KIMARA Najulikana kama JOHNSON Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Emanuel Salehe
    Nimezaliwa mwaka 1990 Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Ninaishi Mwananyamala Najulikana kama Emanuel Nimesoma Mpaka FORM 3 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Mbwana Kibosha
    Nimezaliwa mwaka 1989 Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 4 Ninaishi Mwenyewe Najulikana kama MBWANA Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Kijogoo Ally
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya yaKinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Ninaishi KIMARA Najulikana kama KIJOGOO Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Eliminated
The Quest Crew
+
The Quest Crew
MEMBERS
  • Brown Bryton
    Nimezaliwa mwaka 1994 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama BREEZY Nimesoma Mpaka FORM 6 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Samata Ramadhani
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Ninaishi na SHANGAZI na MJOMBA Najulikana kama SAMATTA Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2016
  • Sabri Khatibu
    Nimezaliwa mwaka 1994 Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama El-Sabri Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Swedy Kassim
    Nimezaliwa mwaka 1996 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 7 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama SWEDI Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Miraji Twarib
    Nimezaliwa mwaka 1998 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama Milaji Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Ben Tumain
    Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Ninaishi na BABA na MAMA Najulikana kama BEN Nimesoma Mpaka FORM 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Said Sureiman
D.D.I Crew
+
D.D.I Crew
MEMBERS
  • Dallazy Brown
    Nimezaliwa mwaka 1989 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 8 katika familia ya watoto 8 Ninaishi na Mke na Mtoto Najulikana kwa ajili ya Sanaa yangu Nimesoma Mpaka Form 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Nabir Kasimu
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa Mwisho katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABI Najulikana kama NAB Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Kibibi Ramadhani
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya BUZEGA Mkoa wa KIGOMA Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Ninaishi na MAMA na BABA Najulikana kama BAD GIRL Nimesoma Mpaka FORM FOUR Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Ray Danasi
    Nimezaliwa mwaka 1996 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa Vitalis katika familia ya watoto 4 Ninaishi Kinondoni na Brother Najulikana kama MSANII Nimesoma Mpaka O'LEVEL Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Petro Ngalyoma
    Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa Vitalis katika familia ya watoto 4 Ninaishi Kinondoni na Brother Najulikana kama MSANII Nimesoma Mpaka O'LEVEL Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Shorigo Sam
  • Dullah Tayz
Eliminated
Ikulu Vegas
+
Ikulu Vegas
MEMBERS
  • Daud Dezi
  • Michael Agapeter
  • Abuubakari Said
  • Stanley Peter Mkanola
  • Kalim Abdallah
Wazawa Crew
+
Wazawa Crew
MEMBERS
  • Paulo Santana
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 7 Ninaishi Peke Yangu Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Abdalah Ibrahim
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 5 Ninaishi Peke Yangu Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Mohamedi Omary
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 7 Ninaishi Peke Tandare Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
  • Hamisi Mubarak
    Nimezaliwa mwaka 1990 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam
  • Hamisi Mbelwa
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 6 Ninaishi na WAZAZI WANGU Najulikana kama MBISHI MAVOKO Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Waziri Rajabu
    Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 Ninaishi TANDARE na FAMILIA YETU Najulikana kama KIDUME Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
  • Abdul Ally

Videos

Tatanisha Dancers ( Dance100% - Nusu Fainali)
BBK BBoys (Dance100% - Nusu Fainali)
Wazawa Crew ( Dance100% - Nusu Fainali)
  • Show more
JUDGES / HOST
JUDGE
+
LOTUS

Amezaliwa Agosti 19, Mtanzania aliyekulia nchini Sweden. Amepata elimu yake katika vyuo vya Fryshusets gymnasium huko Stockholm, Sweden, Fryshusets KunskapsCentrum na Jämtlands Län, Sweden.Ameshawahi kuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa kipindi maarufu ‘Nirvana’ cha EATV na ni mkufunzi wa kucheza muziki aliyetunikiwa cheti cha mafunzo ya miaka mitatu huko Stocklohom - Sweden. Amebobea katika mafunzo ya kucheza muziki wa kisasa aina ya Hip Hop, Jazz, Ballet na Contemporary dance.

LOTUS
JUDGE
+
Super Nyamwela

Alizaliwa mnamo mwaka 1977 katika mkoa wa Ruvuma wilaya ya Tunduru. Alisoma na kumalizia elimu yake ya msingi akiwa huko. Rasmi alijiingiza katika fani ya muziki mwanzoni mwa miaka ya 1990 akiwa kama mcheza show katika kumbi mbali mbali za burudani huko na baadae kuhamia katika jiji la Dar-es-salaam huku akiendeleza kipaji alichokua nacho cha kucheza miziki tofauti tofauti kipindi hicho ikijulikana kama breakdance.

Ni kiongozi wa wacheza shoo katika bendi ya Extra Bongo na ni miongoni mwa wanenguaji mahiri na waliodumu katika fani hiyo kwa miaka mingi ambapo amekua mkufunzi na kiongozi wa wachezaji katika bendi ya Twanga Pepeta kwa miaka zaidi ya 10. Nyamwela amefungua chuo cha sanaa kinachofundisha taaluma mbalimbali zinazohusiana na ngoma na nyimbo za asili, ili kukuza utamaduni wa Tanzania.

Super Nyamwela
JUDGE
+
KHALILA

'Amezaliwa May 31, Arusha lakini amekulia Dar es salaam toka akiwa mchanga hadi sasa. Anasomea Shahada ya science of business administration huko University of the People iliyopo Marekani. Ni Mkufunzi wa dansi akiwa anamiliki kampuni ya kusaidia vijana katika swala zima la kucheza na sanaa.

Kwa sasa Khalila anamiliki dance studio yake mwenyewe ambapo anaendesha mafunzo mbalimbali yanayohusu sanaa ya kucheza
Mbali ya hapo ameshafanya kazi na wasanii wakubwa kama vile Ali Kiba na Jokate. Pia ameshawahi kuwa choreographer wa maonyesho makubwa kama Namibia Annual Music Awards (NAMA).

KHALILA
HOST
+
T-BWAY

Amezaliwa Tarehe 10/06 Mwanza na kukulia ndani ya jiji la Dar es Salaam, amesoma shule ya Esaacs Primary School na Kampala International High School. Tbway ana urefu wa futi 6.5 . Anapenda sana kupiga picha, kuogelea, movie na kuendesha magari kwa kasi. Alipachikwa jina la TBWAY 360 akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kuzungusha gari mzunguko wa duara yaani nyuzi 360. Pia ni mtangazaji wa kipindi maarufu Tanzania cha vijana especially walio shuleni cha EATV 5Selekt.

T-BWAY
  • GUEST JUDGE
    +
    Lydia Igarabuza
    Lydia Igarabuza
  • GUEST JUDGE
    +
    Ali Kiba
    Ali Kiba
  • GUEST JUDGE
    +
    Witness Mwaijaga
    Witness Mwaijaga

PROFILE

Dance 100% ni shindano la nguvu kinoma ambalo huandaliwa na kituo cha television cha EATV na hufanyika kila mwaka kwa muda maalum uliopangwa.

Shindano hili lipo kimtaani zaidi, maana hutembelea mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na kuweka vituo vyake kwaajili ya kufanya usajili wa makundi ya wachezaji (dancers) ambao wanapenda kucheza, kisha baada ya hapo hufanya mchujo katika vituo hivyo na kuchukua makundi matano ya washindi toka katika kila kituo na kuwapambanisha pamoja.

Lengo kuu la shindano hili ni kuwakutanisha vijana mbalimbali wenye uwezo wa kucheza ,na kisha kuwafanya wajulikane na watu tofauti kupitia kipindi hiki.

Washindi wanaopatikana katika shindano hili huzawadiwa fedha taslimu na zawadi nyinginezo kama zipo, kwa kuwapa zawadi washindi hawa huwafanya waweze kununua vifaa mbalimbali wanavyoviitaji katika sanaa yao na pia kuweza kufanya mambo yao mengine tofauti.

Washiriki katika shindano hili hucheza nyimbo mbalimbali zikiwemo reggae, R&B, Hip Hop na nyinginezo, na pia ili mtu aweze kushiriki anapaswa awe na kikundi cha wenzake kuanzia watu 5 hadi 8, mwenye afya njema, umri wa kuanzia miaka 18 (kama ana chini ya miaka hiyo anapaswa aje ana kibali toka kwa wazazi)

#Dance100

Dance100% (Street Challenge Ep3)
Dance100% (Street Challenge EP2)
Dance100% (Street Challenge Ep1)
emmly_platnumz
it's your boy @tbway360 the best presenter in town akifanya yakeee #dance100 namkubali sana na kumuelewa pia #5select best show in town yan sikubaligi kuki
East Africa Radio
Makundi 10 yaliyofanikiwa kuingia nusu fainali ya ‪#‎Dance100‬ Wazawa Crew, DDI Crew, Team Makorokocho, J Combat, Clever Boys, BBK BBoys, Mazabe Powder, The Que
KennySwagg
Mabinti wakishindana kucheza singeli hapa Don Bosco Oysterbay ‪#‎Dance100‬
kitalimagerald
Moja ya jaji wa #Dance100 akitoa maksi kwa kundi la tatu kupanda stejini ambalo ni Mazabe Powder
frkasla
At Dance 100 Robo Finale! Excited people! #bbkbboys #bballkitaa #gameofzones2016 #iambbk #vodacomdance100 #dance100 #dancemiamia2016
JohnKayze
Tupo hapa Don Bosco, Namanga, tunasubiri Robo Finale ya Dance100 ianze. Karibuni sana wote! #bbkbboys #bballkitaa #gameofzones2016 #vodacomdance100 #dancemiamia
bbk_bboys
BBK BBOYS #dance100 #dancemiamia2016 #vodacomdance100 #eatv #bbkbboys #bballkitaa #gameofzones2016
bbk_bboys
himtariq
#Dance100 #QuarterFinals @vodacomtanzania
  • Show more

ABOUT US

  • About us
  • Advertise
  • Jobs
  • Terms & Conditions
  • Contact Us
  • Frequently Asked Questions

Network

  • IPP MEDIA
  • EAST AFRICA RADIO
  • ITV
  • RADIO ONE
  • CAPITAL RADIO
  • LOKOPROMO

©  East Africa Television Limited. All Rights Reserved

  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
  • Search
  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
  • Search