Petro Sanga
Petro Sanga kutoka njombe wabish camp, aje hapo kwenye ting'a nambari 1 kwa vijana? napenda kutuma salamu zangu kwa;-fadhili kimeta,donata chatanda,happy msigwa na wengineo wote wanaonifahamu.
Man Yenda
Naitwa Man Yenda wa kigamboni halla kwa john bauta,mjusi kafiri,kasanula,yuri6,wayc na kwa wanangu wote wanao nifahamu by man yenda wa kigamboni.
Precious Paschal.
holla 5 ziende kwa baba angu mzazi Makuru James ( Paschal ) Dodoma, mama angu Pilly Waziri ( Prisca ) wa Dar, bibi angu mama Pilly wa Mpwapwa na mjomba angu hochani James wa sitalike wasiache kuangalia enewz.
Joram Christopher
halaaa! East Africa naitwa Joram Christopha from Moshi majengo kwa mtei napenda kutoa hala 5 kwa ma"friends zngu Frank Lewis, Wilium Malamsha, Suzane Malale au mama Belinda pamoja na Charz mjeshi mwisho!!!