Nuru Mikidadi
Mimi Nuru Mikidadi gurisha wa arusha,nawapa hi!5.babu nuru na bi nuru wa kipawa dsm,na elisa,ethan,kahuluda wa njiro.hallaaaaa!!!!5.chezea nyalifaaaaaa
Shakira JJ
Hellow kaka Nyalifa, usinicheke na mapengo yangu my name is Shakira J.J wa Lindi niko na my brother Najim J.J, enewz inabamba sana.Salam nying kwa mama mzaz Mayasa Ndagula tumemmis sana.kwa pamoja tunasema holla five. Byeeeeeee. Hoooooollllllaaaaa
Salum
Hii East Africa, naitwa Salum Niko Bariadi Simiyu, Hi kwa jamaa zangu Mazoka Golanga akiwa Buzwagi Kahama, George Mnaku, Godfrey Komanya Sultan wakiwa Bariadi, Chezea Nyalifa akuzime ziiiii!
Shubii
naitwa Shubii nipo Moshi napenda kuangalia enewz na dominic nyalifa.ENEWZ NDO HABARI YA HAPA MOSHI MJINI MANGI.
JJ
Holla 5