Jumatano , 15th Jul , 2026

Msanii wa Reggae kutoka Jamaica, Fantan Mojah (Owen Moncrieffe), amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 49, taarifa iliyowashtua mashabiki na wadau wa muziki duniani. 

 

Mpaka hivi sasa bado chanzo cha kifo chake hakijawekwa wazi.

Fantan Mojah alijizolea umaarufu mkubwa kwenye wimbo kama Rasta Got Soul, Hail the King, Stronger na Thanks & Praise

Pumzika kwa amani, Fantan Mojah.