Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Brazil kuwekeza kiwanda cha dawa nchini.

Jumanne , 4th Oct , 2022

Serikali imepokea ujumbe wa wakekezaji kutoka nchini Brazil ambao ni wazalishaji wakubwa duniani katika sekta ya dawa kwenye sekta za afya,uvuvi na mifugo ujumbe ambao umewasili nchini ukiletwa na Balozi wa Tanzania nchini Brazil Adeladus Kilangi.

Balozi wa Tanzania nchini Brazil Adeladus Kilangi.

Kwa mujibu wa Balozi Kilangi wawekezaji hao kutoka Brazil katika kikao cha pamoja na watendaji kutoka taasisi za serikali wameonesha nia ya kujenga kiwanda cha dawa,kuzalisha na kuleta dawa kwenye sekta hizo za afya ,uvuvi na mifugo.huku mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho kutoka brazil akieleza nia ya uwekezaji wao nchini.

“Nikiwa nchini Brazili kazi yangu ni kuitangaza Tanzania kusema na wawekezaji wenye nia ya kuja kufanya uwekezajim kwetu sera zetu ni nzuri na hawa jamaa ni kati ya wewekezaji wakubwa kwenye dawa”-alisema balozi Kilangi

Hata hivyo kwa upande wake mfamasia mkuu wa serikali katika kikao hicho amekiri ukubwa wa wawekezaji hao ambao ni wakubwa katika bara loa america kusini akibainisha kuwa endapo watajenga kiwanda ama kuongeza nguvu kwenye kiwanda cha serikali cha keko itarahisisha huduma na upatikanaji wa dawa nchini.

Kikao hicho kati ya wawekezaji watendaji kutoka taasisi za serikali kimelenga kuwaonesha fursa ikiwa ndiyo azma ya serikali kutangaza sera za uwekezaji nje ya mipaka.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala