Picha ya ajali eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini.
Mganga Mkuu wa wilaya ya Chunya Dr Darson Andrew amesema amepokea majeruhi wanaume sita na wakike watano.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii, na kutazama East Africa TV.