Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Askari Polisi afia Bar, RPC asimulia

Ijumaa , 15th Mar , 2019

Askari Polisi mkoani Ruvuma, amekutwa amekufa kwenye baa moja inayopatikana katikati ya mji wa Songea mkoani Ruvuma.

Akithibitisha taarifa za kifo hicho, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Marwa amesema askari aliyefariki anajulikana kwa jina la Donald Motoulaya (29), mzaliwa wa Mtwango mkoani Njombe, na alifariki kutokana na maradhi ya presha na si ulevi kama ilivyosemekana.

Kamanda Marwa amesema kwamba Donald alikutwa amelala kwenye kochi la bar hiyo, baada ya kuteleza alipokuwa akiingia na kumueleza kuwa alikuwa akijisikia vibaya.

RPC asimulia

Si kweli kuwa alikuwa amelewa, alikuwa  ameenda pale bar, wakati anaingia kateleza akaanguka, hata ukimuangalia shavuni ana mkwaruzo hivi, muhudumu mmoja anaitwa Jovina akamuuliza vipi akasema najisikia kukosa hewa, akamsaidia kumtoa nje, kumbe baadaye akaingia ndani akaa kwenye sofa akalala, alivyolala watu hawakujua kama kuna mtu, asubuhi wanakuja kufanya usafi ndio wakamuona, kumkimbiza hozpitali Daktari akasema ameshafariki, na kilichomuua kwa mujibu wake ni kushuka kwa presha”, amesema Kamanda Marwa.

Kamanda Marwa amesema kwamba mwili wa askari huyo tayari umeshasafirishwa kwenda Mtwango kwa mazishi ambayo yanafanyika mchana wa leo Machi 15.

Kwa mujibu wa Kanda Marwa, askari huyo hakuagiza kinywaji chochote, kutokana na taarifa walizozipata kutoka kwa wahudumu wa bar hiyo, pia wengine hawakujua kama yumo ndani.

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria