Mwanaume aliyejgeuza mwanamke
Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani miezi mitatu.
Kwenye video hiyo, mwanamume huyo anaoneshwa akiwa amekaa chini akiwa amevaa sidiria, suruali ya kike na alikuwa amevaa wigi kichwani kwake.








