Mbunge wa CCM, Abdallah Bulembo
Mh. Bulembo amehoji kwamba mpaka leo ni miaka 36 imekwishapita na wananchi hao bado hawajalipwa haki yao ya Bilioni 1.4, hivyo Serikali inatoa tamko gani kwa wananchi hao?
Akijibu swali hilo Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema kuwa kutokana na kuwa Bulembo amesemea swala mahsusi linalohsisha fidia basi atalichukua jambo hilo na kwenda kujua Status yake ili kufahamu kama tathmini zilikwishafanyika na kama fedha hizo zinastahili kulipwa.