
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amesema baada ya dereva huyo kusababisha ajali alikimbia ndipo Jeshi la Polisi lilianza msako na kufanikiwa kumkatama
Katika hatua nyingine Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kumshikilia Karani mmoja wa sensa ya watu na makazi aliyelipwa fedha za ushiriki wa zoezi hilo lakini hakushiriki