Kushoto ni dereva wa basi la Arusha Express, aliyezuiliwa kufanya safari
Hayo yamejiri hii leo Oktoba Mosi, 2021, wakati Kaimu Mkuu huyo alipoongozana na wakaguzi wa magari kufanya ukaguzi na kutoa elimu kwa madereva na abiria kutumia vyombo hivyo kwa kuzingatia sheria na kuepusha ajali za barabarani.
Tazama video hapa chini








