
Vijana wa Ngorongoro Heroes wakiwa katika matayarisho ya michezo yao ya Cecafa.

Papa Bouba Diop enzi za uhai wake akiichezea Senegal na hii ilikuwa katika fainali za kombe la dunia mwaka 2002.

Kushoto ni Spika Mstaafu, Pius Msekwa na kulia ni Spika wa Bunge la 12, Job Ndugai.

Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Benson Bana ( wa kwanza kushoto) akiwa na viongozi wa Simba SC.

Mkuu wa Kitengo cha Kodi Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Denis Masami (kulia) na wataalamu wengine wakichukua mawasiliano kutoka kwa kijana aliyemkuta katika nyumba iliyopo eneo la Chidachi jijini Dodoma wakati wa zoezi la kupita nyumba kwa nyumba kuhamasisha ulipaji kodi ya pango la ardhi mwishoni mwa wiki.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel

Kocha wa Simba SC Sven Vandenbroeck

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa.