Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hali ya dereva wa Heche ilipofikia

Jumatatu , 18th Sep , 2017

Katibu wa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, amefunguka na kusema wanamshukuru Mungu dereva wa mbunge wao aliyejeruhiwa mwishoni mwa wiki iliyopita hajapata madhara makubwa katika fuvu la kichwa na amepata ruhusa ya kurudi nyumbani.

Katibu Zabloni Mrimi ambaye pia alikuwa mmoja wa waangalizi wa usalama wa dereva wa Heche tangu alipopata ajali ya kushambuliwa kwa mapanga amesema hali ya mgonjwa imebadilika na kuwa yenye kuridhisha na kutia moyo.

"Baada ya matibabu aliyokuwa akipatiwa hospitali ya Bomani tulimpeleka hospitali nyingine kwa ajili ya vipimo vya 'X Ray' na uchunguzi mwingine zaidi, Lakini jambo la kumshukuru Mungu pamoja na kwamba alipata majeraha sehemu mbaya ila imeonekana kuwa fuvu lake la kichwa halijapata madhara"

Pamoja na hayo ameongeza kuwa taarifa walizopata kutoka kwenye jeshi la polisi ni kwamba bado wanaendelea na msako wa kuwakamata waliohusika na tukio hilo ikiwa ni pamoja na kusikia kauli ya Kamanda wa Polisi kuwataka waliofanya shambulio hilo waweze kurudisha mali za dereva huyo.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea