Jumatano , 9th Mar , 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kukerwa na suala la unyanyasaji wa kijinsia na kuwataka wanawake kwa pamoja walifanyie kazi ili kukomesha vitendo hivyo kwenye jamii.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Ameongeza kuwa kama kweli wanawake linawakera basi inabidi wasimame imara kuonesha serikali kuwa jambo hilo linawaudhi.

Zaidi tazama Video hapo chini