Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jeshi la polisi latoa ripoti ya lori linaloungua

Ijumaa , 23rd Mar , 2018

Jeshi la Polisi mkoani Singida limetoa taarifa juu ya ajali ya moto ambayo iemeteketeza lori mapema hii leo, na kusababisha vifo vya watu walikuwamo kwenye lori hilo.

Akizungumza na mwandishi wa www.eatv.tv, Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Debora Magiligimba, amesema ajali hiyo imetokea leo majira ya saa nne asubuhi, baada ya lori hilo kuacha njia na kupinduika na kisha kuwaka moto, na kusababisha vifo vyta dereva na konda wake ambao wote ni wakazi wa Dar es salaam.

“ Lori lenye namba T 167 DQT aina ya flight liner mali ya Petrolmark Afrika ya jijini Dar es salaam, liliacha njia na kupinduka na kisha kuungua, watu waili ambao ni wanaume waliokuwamo wamefariki, uchunguzi wa jeshi la polisi baada ya kupita mzani wa Singida saa 1 asubuhi, gari hiyo ilikuwa inaendeshwa na Erasto Abedi Rusazi na Ramadhani Hashim Ramadhani wote wakazi wa Dar es salaam, na lilikuwa limebeba mafuta”, amesema Kamanda Magiligimba.

Kamanda Magiligimba amesema miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya willaya ya Kiomboi, na ndugu zao wanaombwa kwenda kutambua miili.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu