Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kabudi awapa neno waliobeza sheria za madini

Jumanne , 19th Jan , 2021

Waziri wa Mambo ya nje Dkt. Palamagamba Kabudi awapa neno wale wote wasiotakia mema na waliokuwa wanabeza  mabadiliko ya sheria katika sekta ya madini kwamba yatafukuza wawekezaji.

Waziri wa Mambo ya nje Dkt. Palamagamba Kabudi

Akizungumza katika hafla ya  utiaji saini wa mkataba kati ya serikali na Lz Nickel Limited mkoani Kagera , Kabudi amempongeza Rais wa Jamhuri wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa ujasiri na msiamamo wake thabiti.
 
"Wale wasiotutakia mema walitutisha kwamba sasa tumefukuza wawekezaji wa madini nchini Tanzania, na kwa kweli bila ujasiri wako na msimamo wako thabiti tungeyumba, lakini leo namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba amefanya  wale wote waliotu zoza kwamba sheria hizi na msimamo huu utatufukuzia wawekezaji, leo tumepokea wawekezaji wakubwa katika madini adimu duniani" amesema Kabudi.

Aidha Dkt.Kabudi amesema kuwa sheria hizo kwenye madini zimeleta mageuzi na sura mpya katika umiliki, ulinzi, usimamiaji, utawala na matumizi ya utajiri na rasilimali asilia za nchi na umeleta mwanga wa matumaini kwa mchango na faidi zinazotarajia kwa maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla.

 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani