Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kauli ya CHADEMA baada ya Komu kutangaza kuondoka

Jumapili , 29th Mar , 2020

Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema, amesema kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini ameamua kutoa kauli hizo kwa kuwa haamini chama kinasimamia nini na kwamba analazimika kubaki ndani ya chama kwa kuwa anasubiri posho zake za Bunge na kiinua mgongo.

Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA, John Mrema na Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu.

Mrema ameyabainisha hayo leo Machi 29, 2020, masaa machache tu tangu Mbunge wa Moshi vijijini Anthony Komu, alipotoa kauli ya kuwa ataondoka CHADEMA mara tu mhula wake wa Ubunge utakapoisha na kwamba atahamia NCCR Mageuza kwa kuwa chama hicho kina itikadi ya utu.

"Komu ametangaza kuwa yupo kwenye chama kwa sababu ya kusubiri mafao ya Ubunge na posho za Bunge la Bajeti, kwani amesema kuwa atajiondoa kwenye chama mara baada ya mhula wa Ubunge wake utakapomalizika, akishalipwa mafao yake,  kiufupi tumbo lake ndio linampa sababu ya kubakia ndani ya chama" amesema Mrema.

Aidha Mrema ameongeza kuwa chama hicho kitakaa vikao vyake na kitatoa taarifa rasmi kwa umma juu ya jambo hilo.
 

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita