Lawrence Masha aondoka CHADEMA

Tuesday , 14th Nov , 2017

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha amejivua uanachama wa CHADEMA akidai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali.

Lawrence Masha amejivua rasmi uanachama huo wa CHADEMA ikiwa ni miaka miwili tangu ajiunge na chama hicho mwaka 2015 akitokea CCM.

Isome hapa barua yake