Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Lissu, Zitto ngoma droo" - Ado Shaibu

Ijumaa , 11th Jan , 2019

Katibu wa Itikadi na Uenezi ACT, Ado  Shaibu ameweka wazi kuwa akipewa nafasi ya kuchagua  kati ya Tundu Antiphas Lissu (CHADEMA)na Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) kugombea urais itakuwa ngoma droo kwa kuwa ni viongozi wenye misimamo na kusimamia kilicho sahihi.

Kushoto ni Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.

Ado amesema kwamba anaamini kupiti muungano wa vyama vya upinzani uliofanyika, kiongozi yoyote atakayesimamishwa kugombea urais 2020 lazima ashinde.

Akiwachambua viongozi hao wawili kwenye www.eatv.tv, Ado amesema kwamba kutokana na ukaribu wake wa kufanya kazi na Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini na hata kwenye masuala mbalimbali tofauti na kazi anamtambua ni kiongozi mwenye maono makubwa sana na Tanzania hivyo akipatiwa nafasi atafanya mambo makubwa.

Akimzungumzia Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki, Ado amemuelezea kama Mwanaharakati wa siku nyingi asiyeogopeshwa lakini mwenye uwezo wa kusimama na kuikosoa Serikali ya Rais Magufuli.

"Kwa kufanya kazi nyingi na Zitto Kabwe, naweza kusema Zitto yupo tayari kubeba majukumu makubwa ya kuiongoza Tanzania. Mimi ni zao la Zitto kwenye siasa lakini pia namjua vizuri.  Lakini kwa upande wa Lissu namna ninavyomtambua sina budi kusema wote wawili ni ngoma droo", ameongeza Ado.

Mbali na hayo, Ado ameshauri vyama vya upinzani kuwa havipaswi kusimamisha mgombea kila chama bali wanapaswa kuteua kiongozi mmoja atakayepewa nguvu na vyama vingine ili kuweza kuitoa serikali ya CCM madarakani.

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita