Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mafuta ya kula ya Mil 34 yakamatwa Tanga

Ijumaa , 13th Feb , 2015

Shehena ya mafuta ya kula zaidi ya madumu 888 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 34 kutoka Singapore yamekamatwa katika bandari bubu ya Kwale mkoani Tanga.

Shehena ya mafuta ya kula zaidi ya madumu 888 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 34 kutoka Singapore yamekamatwa katika bandari bubu ya Kwale iliyopo pembeni mwa bahari ya hindi yaliyokuwa yakitokea kisiwani Zanzibar kwenda jijini Tanga bila kulipiwa ushuru.

Kukamatwa kwa mafuta hayo kunafuatia operesheni inayofanywa na askari wa kikosi cha wana maji katika bahari ya Hindi ambapo imebainika kuwepo kwa bandari bubu 280 katika wilaya za Mkinga, Tanga, Muheza na Pangani ambapo kati ya hizo 40 ni kubwa na nyingine ndogo ambazo zinatumika kuingiza bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kukwepa ushuru unaotozwa na watendaji wa serikali.

Kufuatia jitihada hizo wasemaji wa mamlaka ya mapato nchini (TRA) tawi la Tanga wamesema mtuhumiwa aliyedaiwa kukwepa kodi kwa serikali atalipa kodi kisha atatozwa faini kulingana na shehena ya bidhaa zilizokamatwa hivyo wananchi wameombwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka hiyo katika kufichua wakwepa kodi na endapo zoezi hilo litafanikiwa watatoa donge nono kwa mhusika.

Hata ivyo nahodha wa jahazi lililokutwa likisafirisha bidhaa hiyo Ally Rashid amesema kilichosababisha chombo chao kuweka nanga katika bandari bubu ya Kwale ilitokana na kupasuka kwa tanga linaloongoza safari pamoja na kuharibika kwa mashine hatua ambayo imewalazimu kukaa siku Tisa majini na kujikuta wakisogezwa hadi bandari bubu ya kwale.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani