Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mama wa mtoto aliyejinyonga aonesha wasiwasi wake

Jumatatu , 29th Mei , 2023

Mama mzazi wa mtoto Yusra Hassan mkazi wa Nyengedi Mkoani Lindi aliyefariki kwa kujinyonga ameeleza kuhusu kifo cha mtoto huyo huku akihusianisha tukio la kifo cha mtoto wake na imani za kishirikina

Fatuma Salum Mama wa marehemu anasema, kifo cha mwanaye hakikuwa cha kawaida kwani anamfahamu kwa namna alivyomlea na si rahisi kwake kuchukua maamuzi hayo 

"Sielewi nnapoambiwa mwanangu amejinyonga hakuwa na hasira na hata alipokosea nilikuwa ninamuadhibu lakini hakuwahi kufanya kitu kama hiki" Fatuma Salum, Mama mzazi wa Yusra

Aidha bibi wa mtoto huyo ameeleza hali ya mtoto huyo kabla ya kifo chake
"Siku moja kabla hajafariki alikuwa anaumwa tumbo, alisema anasikia kitu kinatoka juu kinadondoka chini"  Habiba Nandoli, Bibi wa mtoto Yusra (11) aliyejinyonga Nyengedi, Lindi

Kwa mila na Desturi za watu wa mikoa ya kusini mwa Tanzania, kutohitimisha msiba wa marehemu kwa kufanya 40 ni kigezo kimojawapo kuwa familia haijaridhika na namna ndugu yao alivyofariki ambapo familia hiyo haijapanga kuhitimisha kwa kufanya shughuli hiyo ya 40

Binti huyo mwenye umri wa miaka 11 inaelezwa kuwa tarehe 17 mwezi wa 5 alishindwa kwenda shule kwa kigezo kuwa anaumwa, ambapo alifanya kazi za nyumbani na kufua nguo zake ambapo muda wa saa 5 alijinyonga kwa kutumia nguo na kufariki
 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala