Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mbunge Musukuma alilia Maaskari wanawake

Jumatatu , 24th Jun , 2019

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola ameeleza Serikali ina mpango wa kupeleka Maaskari wanawake katika baadhi ya Majimbo nchini kufuatia maombi yaliyotolewa na Wabunge wengi.

Waziri Lugola ametoa kauli hiyo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku (Musukuma), ambapo Kangi lugola alieleza anajua wanaume wengi huwa wanafurahia zaidi wakikaguliwa na Maaskari wanawake kuliko wanawake kukaguliwa na wenzao.

"Wapo Wabunge wengi wanaomba tuwapelekee Maaskari wanawake, ninajua wanapokuwa Maaskari wanawake ni faraja kwa wananchi, kwa sababu wao wanaruhusiwa kuwakagua hata wanaume, nimpe faraja Mbunge Musukuma tutawapelekea Askari wanawake." amesema Kangi Lugola

Awali akiuliza swali Mbunge Musukuma ameliza kuwa "nisikitike kwa majibu yaliyotolewa na Naibu Waziri sio sahihi, maeneo ya jirani wana askari wa kike nataka kujua ni lini Serikali itanipatia askari wanawake?"

Waziri Kangi : "ni kweli lazima Askari mwanamke ampekue mtuhumiwa wa kiume, na kama hakuna askari mwanamke uko utaratibu wa kutumia mgambo wanawake au mke wa askari ambaye yuko jirani, nimeshamuagiza wa Kamanda wa Polisi Geita apeleke askari wakike"

Kwa sasa Bunge linaendelea jijini Dodoma ambapo Wabunge wanajadili pamoja na kuingia kura Makadirio ya Mapato na Matumizi ya 2019/2020.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea