Mbunge wa CUF Mtulia ajiuzulu

Jumamosi , 2nd Dec , 2017

Mbunge wa Jimbo la Kindondoni kwa tiketi ya chama cha CUF , Maulid Said Abdallah Mtulia amejiuzulu uanachama wa chama cha CUF na nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo.

Mtulia anasema sababu kubwa ya yeye kuamua kujiuzulu nafasi ni kwakuwa ameamua kuungana na Rais Magufuli baada ya kuona kwamba anafanya na kutekeleza mambo mengi ambayo upinzani uliahidi kufanya...

Soma  barua yake hapo chini kwa undani zaidi

Tazama hapa Mtulia akielezea